/home/mviwata/public_html/wp-content/themes/mviwata/category.php on line 35
https://www.mviwata.or.tz/mafunzo-ya-sheria-kwa-wakulima-wawezeshaji/"> MAFUNZO YA SHERIA KWA WAKULIMA WAWEZESHAJI...
Mafunzo juu ya sera na sheria za ardhi yametolewa kwa wakulima wawezeshaji (mapromota) 30 ambao ni wanachama wa MVIWATA mkoani Mbeya. Mafunzo hayo yamejumuisha wakulima kutoka Wilaya za Mbarali, Momba na Mbozi. Mafunzo yamefanyika kwa...