UHAKIKA WA ARDHI KWA WAKULIMA WADOGO NCHINI

Wakulima wadogo kutoka Wilaya ya Kilosa, Morogoro wakiwa katika ofisi za MVIWATA Makao Makuu wakipatiwa Msaada wa Kisheria na Ushauri juu ya migogoro ya ardhi baina yao na wawekezaji pamoja na mashamba yaliyofutiwa hati za umiliki katika maeneo yao.

Mviwata on Facebook

Subscribe to our monthly newsletter