MAFUNZO YA SHERIA KWA WAKULIMA WAWEZESHAJI

Mafunzo juu ya sera na sheria za ardhi  yametolewa kwa wakulima wawezeshaji (mapromota) 30 ambao ni  wanachama wa MVIWATA mkoani Mbeya. Mafunzo hayo yamejumuisha wakulima kutoka Wilaya za Mbarali, Momba na Mbozi. Mafunzo yamefanyika kwa muda wa wiki 2 katika Chuo cha Kilimo Uyole Jijini Mbeya.

Mviwata on Facebook

Subscribe to our monthly newsletter