Siku ya Wanawake Duniani 2021

Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) unakukaribisha kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Tarehe 8, Machi 2021.  Kutakuwa na mjadala kwa njia ya mtandao utakaojikita kwenye Maada ifuatayo ” Katika kupambana na Ubepari na Mfumo dume, Kinga ni Ufeministi na Mshikamano.

MUDA: SAA (9) TISA KAMILI ALASIRI.

Jiandikishe kupitia kiungo kilichopo hapa chini;

https://viacampesina.zoom.us/meeting/register/tJApdumsqjkjGNLkThVCAMI-hqDiRWSaGySx

Baada ya kujiandikisha, utapokea barua pepe ya kuthibitisha kujiunga na itakayokuwa na kiungo cha kukuwezesha kushiriki majadiliano hayo.

Karibuni sana.

Mtetezi wa Mkulima ni Mkulima Mwenyewe

289 views

Mviwata on Facebook

Subscribe to our monthly newsletter