HALMASHAURI YA MVIWATA YAFANYA KIKAO CHA KUJADILI MAENDELEO YA MVIWATA..

Wajumbe wa Halmashauri ya MVIWATA wakiwa kwenye kikao cha siku mbili kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa MVIWATA Makao Makuu, Morogoro. Kikao kimehudhuriwa na wajumbe takribani 120 kutoka Tanzania Bara na Visiwani lengo likiwa ni kujadili masuala ya maendeleo ya Taasisi.

228 views

Mviwata on Facebook

Subscribe to our monthly newsletter